Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 15, 2014

MAHAFALI YA NNE YA FARAJA SCHOOL OF FIST AID NURSING AND MIDWIFERY YAFANA MBEYA 2014

Baadhi ya wahitimu wakicheza kwa kufara kuelekea eneo la uwanja washule kupata vyeti vyaoMakamu Mwenyekiti wa TCCIAJulius Kaijage  katikati  na Mkurugenzi wa Faraja school Benjami Ulimboka Mwakilili wakipokea maandamano ya wahitiwahitimu 

 Mkurugenzi wa Faraja school Benjami Ulimboka Mwakilili akiwa na mgeni rasmi wakiwapokea wahitimu kwa kucheza pamoja 


Wahitimu

Wageni waalikwa


Makamu Mwenyekiti wa TCCIAJulius Kaijage  akiwahutubia wahitimu katika mahafali hiyo

 Mkurugenzi wa Faraja school Benjami Ulimboka Mwakilili akitoa taarifa fupi ya mafanikio ya shule ya Faraja kwa mgeni rasmi


Wahitimu wakisoma risala kwa kwa mgeni rasmi

Moja ya wahitimu akipokea cheti toka kwa mgeni rasmi

Hawa ni wanafunzi wa shule za msingi mbali mbali wakipokea vyeti vyao vya kuhitimu mafunzo ya awali ya kompyuta katika shule hiyo ya Faraja

Moja ya wanafunzi wa shule ya msingi akipokea cheti chake cha kuhitimu mafunzo ya awali ya kompyuta toka kwa mgeni rasmi

Pia burudani mbalimbali zilikuwepo kutumbuiza siku hiyo ya mahafali ilikuwa nifuraha tupu

Picha na Mbeya yetu

No comments: