Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, April 24, 2014

BREAKING NEWS: LIVE MUDA HUU, WAANDISHI WA HABARI WA JIJI WAHAMASIKA BAADA YA MBEYA YETU BLOG PAMOJA NA BOMBA FM RADIO KUKARABATI KIPANDE CHA BARABARA BLOCK T

Hivi ndivyo Barabara ilivyokuwa kabla
Wahandisi wa Jiji wakiwa wamefika  eneo la tukio na kujadiliana na waliojitolea  kufukia mashimo katika barabara ya Block T ya  , wa pili kutoka kushoto ni Mwandishi wa Habari wa Bomba Fm Radio Richard Kamanga aliyekuwa akifanya kazi ya kutengeneza Barabara hiyo akiongea nao.
Baadhi ya wamachinga na wananchi wa eneo hilo waliojitolea kufanya kati hiyo wakiwa kazini
Wahandisi wa Jiji wakiahidi kuleta kifusi kwa ajili ya kurekebisha Barabara hiyo
 Wachina wakiwa wamefika eneo la tukio na kuahidi kuwa nao wataongeza nguvu katika ujenzi wa Barabara hiyo
Mchina akipata maelekezo juu ya Barabara hiyo
Hii ndio kazi kubwa inayoendelea kufanywa na Mbeya yetu Blog sambamba na Bomba Fm Radio .

Picha na Mbeya yetu

********************

2 comments:

Anonymous said...

Hongera sana Mbeya Yetu blog na bomba fm ninyi ni vyombo vya habari Wa uhakika muendelea kujitolea nawaombea Mungu Azidi kuwafanya kuwa bora daima.ninyi ni mfano Wa kuigwa!!!

Anonymous said...

Kazi zuri sana nawapenda Mungu azidi kuwapa maarifa