Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, March 11, 2014

MKUTANO WA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA NA VYOMBO VYA HABARI

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Z. Msangi  akiongea katika mkutano huo na waandishi wa habari
 Bwana Felix Mwakyembe ambaye pia ni mwandishi wa Habari akimsikiliza kwa umakini Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya.
 Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia kwa umakini kikao hicho
  Mwandishi wa habari Christopher Nyanyembe akiuliza swali wakati wa mkutano huo
 Mwandishi wa habari Bwana Gordon Kalulunga akiuliza Swali


Waandishi wa Habari kazini

Picha na Mbeya yetu Blog


No comments: