Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, March 24, 2014

KUMBUKUMBU YA MPENDWA BABA YETU JOHN JOHANI MWAISANGOMAERHEMU JOHN JOHANI MWAISANGO
KWAKWELI BADO INATUWIA VIGUMU KUAMINI KUWA LEO IMETIMIA MIAKA KUMI NA MOJA  TANGU UTUTOKE HAPA DUNIANI MPENDWA BABA YETU INGAWA HAUPO NASI TENA KIMWILI, MOYO WAKO WA HEKIMA NA UPENDO UTAENDELEA KUBAKI NASI DAIMA NA KUENDELEA KUWA MWONGOZO WA MAISHA YETU BABA YETU MPENDWA  UNAKUMBUKWA SANA NA WANAO, WAJOMBA ZAKO, NA NDUGU NA JAMAA ZAKO WOTE TUNAMSHUKURU SANA MUNGU KUTUPA NGUVU NA UJASIRI WA KUENDELEA KUTIMIZA NDOTO YAKO YA KUISHI KWA UPENDO NA MSHIKAMANO NA TUNAWASHUKURU SANA WOTE AMBAO WAMEKUWA NASI MUDA WOTE KATIKA KUKUKUMBUKA NA KUKUENZI

TULIKUPENDA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI 
AMEN

No comments: