Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, March 3, 2014

BREAKING NEWS: MTOTO MMOJA KATI YA WALE MAPACHA WANNE WALIOZALIWA MKOANI MBEYA NA AMBAYE NDIYE ALIKUWA MKUBWA ALINIKUMBU AMEFARIKI DUNIA


Habari mbaya zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mtoto mmoja kati ya mapacha wanne Pichani  amefariki dunia jioni ya leo baada ya kuugua kifua kwa muda mfupi, ni mtoto wa kwanza kushoto ambaye pia ndiye alikuwa ni mkubwa. 
Taarifa zaidi zinakuja endelea kufuatilia
Picha ya mapacha hao wanne 
Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog Joseph Mwaisango , akiwa pamoja na mtoto wake Erick Mwaisango wakati walipo kwenda kuwatembelea watoto hao, hapa akiwa amemshika Marehemu.

Na Mbeya yetu

1 comment:

Anonymous said...

POLE KWA FAMILIA, MAJIRANI NA WADAU WOTE WALIOKUWA KARIBU NA FAMILIA, LAKINI KUBWA HAPA NI KUWA SIJUI NI KWA KIASI GANI HOSPITALI ALIKOJIFUNGULIA MAMA WA MAREHEMU ILIKUWA KARIBU NA FAMILIA KUJUA MWENEDO MZIMA WA AFYA ZA WATOTO HAO. MIMI NIONAVYO ILIKUWA NI MAPEMA MNO KWA HOSPITALI KUJITOA KATIKA UANGALIZI WA MWENENDO WA AFYA ZAO.