Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, February 5, 2014

Breaking Newsss Nyumba yaungua na kuteketeza mtoto wa miezi mitatu Block T Mbeya


Sehemu ya nyumba ya Ndugu Aden Mwambugu ambamo Ndugu Honest Shoo alikuwa amepanga ikiwa imeteketea kabisa.

Mjomba wa Marehemu akiwa amebeba mwili wa mtoto Clara Honest ambae ana umri wa miezi mitatu  mwili wa mtoto huyo umeteketea kwa moto


Chumba ulimokutwa Mwili wa marehemu Clara Honest

Polisi wakiondoka na mwili wa mtoto huyo


Mwenyekiti wa mtaa wa Block T Ndugu Majembe akimwongoza Honest Shoo ambaye ni mfanyakazi wa Bank ya Posta kitengo cha masoko (mwenye shati nyeupe) kwenda kutoa maelezo kwa polisi waliofika katika tukio.

Mama mzazi wa mtoto Crala akilia kwa uchungu kulia ni binti wa kazi

Chanzo cha moto huo hakijajulikana

Picha kwa hisani ya
Luhanga

1 comment:

Anonymous said...

Habari hii imeniumiza