Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, January 12, 2014

JUST IN: DEREVA WA BODABODA NA MTEMBEA KWA MIGUU WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUPATA AJALI ENEO LA MAMA JOHN MBEYA

 Bodaboda muda mchache baada ya kuanguka baada ya kumgonga mtembea kwa mguu aliye kaa chini upande wa kushoto baada ya ajali hiyo.
 Dereva wa Bodaboda aliye lala pembeni akiwa amelala Chini baada ya kumgonga mtembea kwa miguu, chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa bodaboda hiyo.
 Hapa ndipo Ajali ilipotokea , walinusurika kifo kwasababu Lori pichani lilikuwa halipo mwendo kasi
 Baadhi ya mashuhuda wakiwa wanamuombea msaada dereva wa bodaboda kwenda Hospitalini
 Dereva wa Bodaboda akiwa anachukuliwa kupakiwa katika gari na kupelekwa hospitali kwa matibabu
 Baadhi ya Mashuhuda 

Alivevaa jaketi la Pinki ni kijana ambaye ndiye aliyegongwa na bodaboda
Picha na Mbeya yetu blog

5 comments:

chiku omari said...

jaman madereva wa bodaboda kuwen makin mnapokuwa barabaran

Agray Gray said...

bodaboda tusipo angalia tutapunguza idadi ya watu

Agray Gray said...

bodäboda tusipongalia tutapunguza idadi ya watu

Agray Gray said...

ni kwel kabisa,kama huku daa ajali ndo usiseme

Anonymous said...

POLE KIJANA, BAHATI HAUKUKIMEZA KIJITI CHA KUCHOKONOA MENO KINACHOONEKANA MDOMONI KWAKO, HATA HIVYO UKO FITI KIJANA.