Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, December 16, 2013

TANGAZO LA KUPOTEA MTOTO HAPPY JOB 12

Anaitwa Happy Job 12Anaitwa Happy Job miaka 12
ni mwanafunzi wa shule ya msingi Mapinduzi  Darasa  la sita Amepotea tangu ijumaa aliondoka kwenda shule ila hakurudi mpaka sasa yeyote atakae muona atoe taarifa kwa namba hizi

0757 29 40 16  au 0766 86 59 64

No comments: