![]() |
Baadhi ya waendesha Bodaboda jiji la Mbeya wakiwa wamekusanyika kujiandaa kuchagua viongozi watakaowaongoza uchaguzi huo ulifanyika katika kiwanja cha Luanda Nzovwe jijini Mbeya |
![]() |
Hapa wamejipanga tayari kwa kupiga kura |
![]() |
Kura zikihesabiwa |
![]() |
Moja ya walezi wa waendesha Bodaboda jijini Mbeya Nwaka Mwakisu akisimamia zoezi la uhesabuji wa kura |
![]() |
Hawa ndiyo viongozi waliyochaguliwa kutoka kushoto ni Mwenyekiti Vicent Mwashoma, anaefuatia makamu mwenyekiti Zuberi Simony, katibu Msumba Mdesa, mtunza fedha Batromeo Mwangeni. |
![]() |
Mwenyekiti Vicent Mwashoma akiwashukuru wanachama wenzake kwa kumchagua |
![]() |
Picha ya pamoja |
![]() |
Mwenyekiti Vicent Mwashoma akibebwa juu kwa juu na wanachama wenzake mara baada ya kushinda uchaguzi huo Na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment