Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, December 30, 2013

MBUNGE WA MBEYA MJINI MH. JOSEPH MBILINYI AUNGANA NA WABUNGE WENGINE KUSHEREKEA UBATIZO WA MTOTO WAKE

SIASA SIYO UGOMVI, AMANI YA JAMII YETU KWANZA


 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa(CCM), akimpatia zawadi mke wa Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi(Chadema).


 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa na Mbunge wa Jmbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi(SUGU).

Dr. Mary Mwanjelwa siku ya ubatizo wa Mtoto Shasa Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini (Chadema) katikati, mtoto akiwa amebebwa na mama yake Mbeya Mjini.
 Tufurahi pamoja...

 Sote ni ndugu....


PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments: