Lango kuu la chuo kikuu cha sayansi na Teknolojia Mbeya |
Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akiapatamaelezo toka kwa Samwel Kihogo wa kitengo cha maabara ya udongo na upimaji wa ardhi |
Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akipatiwa maelezo na mkuu wa kitengo cha umeme Joseph Matwani njinzi wanavyotoa mafunzo ya umeme chuoni hapo |
Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa pia alitembelea banda la usanifu majengo hapa waziri akipata maelezo mafupi toka kwa Mhadhiri msaidizi Israel Mayall |
Maandamano ya kuelekea ukumbini |
Ndani ya ukumbi wa Nyerere |
Kaimu makamu mkuu wa chuo kikuu cha Sayanzi na Teknologia Mbeya Joseph Msambichaka akisoma taarifa fupi ya chuo hicho |
Mwenyekiti wa Baraza la chuo Prof Penina Mlamav akimkaribisha mgeni Rasmi |
Naibu kaimu makamu mkuu wa chuo na taaluma Dkt Mbonde |
Mwakilishi wa wanafunzi Frank Mnyanyi akisoma risala kwa niaba ya wahitimu wenzake |
Baadhi ya watumishi wa chuo hicho akipeana mikakati ya kufanikisha mahafali hiyo |
Wageni waalikwa |
Wahitimu wakikabidhiwa vyeti |
Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akimpa hongera mwanafunzi bora Lilian Kawala |
Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa ametoa zawadi kwa Lilian kawala kwenda kusoma nje ya nchi kwa kuwa manafunzi bora wakike chuoni hapo |
Lilian kawala akilia kwa furaha baada ya waziri kumptia zawdi hiyo |
Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akivunja rasmi mahafali ya chuo kikuu cha sayansi na Teknolojia Mbeya Picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment