| Lango kuu la chuo kikuu cha sayansi na Teknolojia Mbeya |
| Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akiapatamaelezo toka kwa Samwel Kihogo wa kitengo cha maabara ya udongo na upimaji wa ardhi |
| Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akipatiwa maelezo na mkuu wa kitengo cha umeme Joseph Matwani njinzi wanavyotoa mafunzo ya umeme chuoni hapo |
| Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa pia alitembelea banda la usanifu majengo hapa waziri akipata maelezo mafupi toka kwa Mhadhiri msaidizi Israel Mayall |
| Maandamano ya kuelekea ukumbini |
| Ndani ya ukumbi wa Nyerere |
| Kaimu makamu mkuu wa chuo kikuu cha Sayanzi na Teknologia Mbeya Joseph Msambichaka akisoma taarifa fupi ya chuo hicho |
| Mwenyekiti wa Baraza la chuo Prof Penina Mlamav akimkaribisha mgeni Rasmi |
| Naibu kaimu makamu mkuu wa chuo na taaluma Dkt Mbonde |
| Mwakilishi wa wanafunzi Frank Mnyanyi akisoma risala kwa niaba ya wahitimu wenzake |
| Baadhi ya watumishi wa chuo hicho akipeana mikakati ya kufanikisha mahafali hiyo |
| Wageni waalikwa |
| Wahitimu wakikabidhiwa vyeti |
| Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akimpa hongera mwanafunzi bora Lilian Kawala |
| Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa ametoa zawadi kwa Lilian kawala kwenda kusoma nje ya nchi kwa kuwa manafunzi bora wakike chuoni hapo |
| Lilian kawala akilia kwa furaha baada ya waziri kumptia zawdi hiyo |
| Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akivunja rasmi mahafali ya chuo kikuu cha sayansi na Teknolojia Mbeya Picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment