![]() |
| Baadhi ya waendesha Bodaboda jiji la Mbeya wakiwa wamekusanyika kujiandaa kuchagua viongozi watakaowaongoza uchaguzi huo ulifanyika katika kiwanja cha Luanda Nzovwe jijini Mbeya |
![]() |
| Hapa wamejipanga tayari kwa kupiga kura |
![]() |
| Kura zikihesabiwa |
![]() |
| Moja ya walezi wa waendesha Bodaboda jijini Mbeya Nwaka Mwakisu akisimamia zoezi la uhesabuji wa kura |
![]() |
| Hawa ndiyo viongozi waliyochaguliwa kutoka kushoto ni Mwenyekiti Vicent Mwashoma, anaefuatia makamu mwenyekiti Zuberi Simony, katibu Msumba Mdesa, mtunza fedha Batromeo Mwangeni. |
![]() |
| Mwenyekiti Vicent Mwashoma akiwashukuru wanachama wenzake kwa kumchagua |
![]() |
| Picha ya pamoja |
![]() |
| Mwenyekiti Vicent Mwashoma akibebwa juu kwa juu na wanachama wenzake mara baada ya kushinda uchaguzi huo Na Mbeya yetu |












No comments:
Post a Comment