Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, November 2, 2013

TUKIO KATIKA PICHA: MBEYA CITY FC YAIBAMIZA ASHANTI UNITED GOLI MOJA KWA BILA.

Timu ya Ashanti United ikiwa katika picha ya pamoja kabla ya Mpira  kuanza 
 Timu ya Mbeya City Fc ikiwa katika Picha ya Pamoja Kabla ya mpira kuanza 
 Picha ya pamoja na waamuzi 
 Wakisalimiana Kabla ya Mechi kuanza 
 Hatari pale ... Kila mmoja anakimbilia mpira pale 
 Mpira unaendelea 
 Na mpira umekwisha 
 Wakisalimiana baada ya Mpira kwisha 
 Wachezaji wa Mbeya City Fc wakiwa wanashangilia Baada ya mpira kumalizika 

 Ashati United pamoja na Mbeya City Fc wakiwa wanaondoka Mara baada ya Mpira Kumalizika 

Ulinzi ukiwa makini kabisa kama inavyo onekana ...

Picha zote na Mbeya yetu

1 comment:

Clara Mwanyalila said...

Uwanja haulidhishi kabisa. Unahitaji ukarabatiwe na kuwa na kkiwango cha ubora zaidi. vumbi tupu zinatimuka. twawaomba wanaohusika na usimamizi wa uwanja walione hilo. Mdau ugenini