Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, November 7, 2013

NI ZAIDI YA SHINDANO.. ONDOKA NA HADI MILIONI TANO , SOMA MAELEZO SASA UWEZE KUSHIRIKI.


TSHS. MILIONI TANO KUSHINDANIWA.....    Mara, Mwanza, Arusha, Dodoma, Kagera, Mbeya, Mtwara na mikoa mingine mko wapi..??   Lile shindano la 'MPENDEKEZE ASHINDE vifaa vya KILIMO vyenye THAMANI ya Tshs. Milioni 5' linaloendeshwa na Balozi wa kampeni ya GROW Shamim Mwasha linaendelea.. Kwa masaa machache tumepokea maingizo 'entries' zinazokaribia 100 kutoka sehemu mbalimbali nchini.... Umeshatuma pendekezo lako..?? Umeshampendekeza mama, bibi, shangazi, mke, jirani, rafiki mkulima mwanamke, mtanzania, mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea anayelima mazao ya chakula..??   Kama bado, fursa ndio hii.. Ni wakati wako sasa kumpa ZAWADI ya mwaka ya vifaa vya KILIMO vyenye Thamani ya Tshs. MILIONI TANO. Ndio !!! Tshs. 5,000,000/=  Ni rahisi sana... Bofya hapa -->   https://www.surveymonkey.com/s/growtanzania   Jaza nafasi zote 19 kisha bofya SUBMIT.. Hivyo tu..   Wekeza kwa Wakulima Wadogo Wanawake. INALIPA.

No comments: