Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, November 26, 2013

LIVE MUDA HUU JIJINI MBEYA: UZINDUZI WA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA MKOANI MBEYA


 Viongozi mbalimbali pamoja na wadau mbalimbali wakiwa wanangoja Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe.
 Waandishi wa habari pamoja na wadau mbalimbali wakimsumbiri  Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe.
  Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe  akiwa anawasili 
 Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe  akiwa anapokelewa na viongozi 
 Baadhi ya viongozi wa Serikali wakiwa wanampokea Mgeni Rasmi 


Picha zote na Mbeya Yetu Blog..

Endelea Kufuatilia hapa tukio Hili ... La live.

No comments: