Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, November 26, 2013

LIVE MAONESHO YA BIASHARA (MBEYA EXPRO 2013) UZINDUZI: MGENI RASMI DR. MWAKYEMBE WAZIRI WA UCHUKUZI BAADA YA KUWASILI ATEMBELEA MABANDA MBALIMBALI YA WASHIRIKI.Mgeni rasmi Waziri wa uchukuzi Dr. Mwakyembe akikata utepe wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo ya biashara.
Mgeni rasmi Waziri wa uchukuzi Dr. Mwakyembe akisaini katika kitabu cha wageni  

Mgeni rasmi Waziri wa uchukuzi Dr. Mwakyembe akiongea jambo wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo

 Mgeni rasmi Waziri wa uchukuzi Dr. Mwakyembe  akikagua moja ya banda 
 Mgeni rasmi Waziri wa uchukuzi Dr. Mwakyembe  akipata maelezo ya kina katika moja ya mabanda hayo


 Mgeni rasmi Waziri wa uchukuzi Dr. Mwakyembe akizungumza jambo katika moja ya mabanda hayo
 Mgeni rasmi Waziri wa uchukuzi Dr. Mwakyembe  akiendelea kupata maelezo
 Mgeni rasmi Waziri wa uchukuzi Dr. Mwakyembe  akienda kutembea kuelekea katika mabanda mbalimbali 
  Mgeni rasmi Waziri wa uchukuzi Dr. Mwakyembe   akiendelea kukagua mabanda 
  Mgeni rasmi Waziri wa uchukuzi Dr. Mwakyembe    akisisitiza jambo katika moja ya mabanda hayo
  Mgeni rasmi Waziri wa uchukuzi Dr. Mwakyembe    akisaini katika kitabu cha wageni katika moja ya mabanda hayo
Kushoto ni Dr. Mwakalukwa akiwa anazungumza jambo.

Picha zote na Mbeya yetu

Endelea kufuatilia hapa

No comments: