Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, October 25, 2013

WATOTO BADALA YA KUPELEKWA SHULE WAGEUZWA MIRADI YA WAZAZI HUKU VIONGOZI WAKIWAANGALIA TU BILA YA KUWACHUKULIA SHERIA

Watoto wa Hatwelo, Kata ya Ijombe Mbeya wakiwa wamebeba kreti za soda kupeleka kwa mfayabiashara aliyewatuma huu ni muda wa shule


Watoto kitongoji cha Katusi kijiji cha Mjere wilaya ya Mbeya vijijini wakichunga mifugo muda wa masomo

Haya maeneo ya usangu wilayani Mbarali

Mtoto akilea wadogo zake wazazi wameenda shamba huu ni muda wa shule

Baadhi ya vyoo katika moja ya shule huko Mbarali

Mwanafunzi akitoka chooni hana hata kandambili


Mbarali huko darasani wengine wamekaa chini


Makala maalumu ya ya picha hizi za watoto wa wanaoishi Mbeya vijijini tutawaletea wiki ijayo bado tunaendelea na kazi tumegundua wazazi pamoja na viongozi hawana ushirikiano huko vijinini jinsi ya kuwalea hawa watoto

Na Mbeya yetu

No comments: