Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, October 29, 2013

BREAKING NEWSA LIVE MUDA HUU; WAPENZI NA MASHABIKI WA MBEYA CITY FC WAVUNJA VIOO YA MAGARI YA TIMU YA TANZANIA PRISONS NA KUMUUMIZA MCHEZAJI MMOJA.

PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG

6 comments:

Anonymous said...

HUO SIO UZARENDO!MAANA KAMA PRISON WASINGEKUWEPO TUSINGESHUHUDIA MCHEZO MZURI KAMA WA LEO.KWA HIYO MASHABIKI WA MBEYA CITY WATAIFANYA IONEKANE KUWA NI TIMU YA WAHUNI!

Anonymous said...

Kila la kheri Mbeya City, endeleeni tu kuharibu Mali za watu

Anonymous said...

NI KWELI MDAU MIYE SHABIKI WA MBEYA CITY LAKINI TUNAKOKWENDA SIKO TUCHEZE MPIRA JAMANI

Anonymous said...

Mbeya City ni bonge la Timu, lakini mashabiki wanataka kutuharibia, Itafika mahala ushindi wanaoupata Mbeya City utaonekana unapatikana kwa kuwatisha wapinzani, wananikera sana baadhi ya washabiki wa Mbeya City kwa ushamba wao

Anonymous said...

HAWA MASHABIKI WA MBEYA CITY WANALETA MAMBO YA KISHAMBA, MICHEZO SIO UGOMVI WAPEWE ADHABU KALI

benny hazole said...

ushabiki ni kushangilia na sio vurugu tunaipa muonekano mbaya timu yetu