Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili T378ADR likiobnekana muda mchache baada ya kupata ajali.
Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili T378ADR likiwa limeharibika vibaya mara baada ya kupata ajali hiyo
Kiatu cha Abiria kikiwa kimebaki baada ya ajali hiyo
Wakazi mbalimbali wa mpakani mwa Mbozi na Songwe wakishuhudia Ajali hiyo
Hapa Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili T378ADR baada ya kupata ajali
Baadhi ya watu wakiangalia kama kutakuwa na watu wamebakia katika ajali hiyo
Usukani wa Dereva ukiwa umetoka mara baada ya ajali hiyo
Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili T378ADR linavyo onekana kwa mbele
Hivi ndivyo Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili T378ADR lilivyo haribika
Wananchi Mbalimbali wakiwa wanashuhudia ajali hiyo na kutoa msaada
Mmoja ya Majeruhi baada ya kufikishwa hospitali.
*******
Habari kamili inakuja .. Endelelea kufuatilia hapa hapa ..
********
Habari
wadau wetu : Huduma ya Tone Mobile News imeanza Rasmi kama bado hauja
jiunga fanya Hivyo sasa, Pata Habari za magazetini kila siku asubuhi,
Pata Breaking News, Pata habari Motomoto na ifanye Dunia kuwa Kiganjani
kwako. Huduma hii ni Bure na hakuna utakapokuja kulipishwa hata siku
Moja. Kujiunga ni Rahisi Tuma jina na Namba yako kupitia ujumbe mfupi wa
maneno kwa namba +255717130218, usisahau ku Share na wenzako, huduma ni
kwa mitandao yote.
1 comment:
MUNGU NUSURU MAJERUHI WAPOME
Post a Comment