Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, September 20, 2013

TCRA YATOA MAFUNZO NA VYETI KWA MABLOGGER WA TANZANIA



Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania (TCRA), Prof. John Nkoma akizungumza wakati wa kufunga Warsha ya Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini  kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),  jijini Dar es Salaam.

                             Meneja wa Viwango na Kanuni za Uandishi wa Habari kutoka Baraza la Habari Tanzania,Mama Pili Mtambalike akiwasilisha mada yake wakati wa Warsha ya Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar es Salaam.
              Mkurugenzi wa Kampuni ya Tech Wark,Liz Wachura akitoa Mada yake kwenye Warsha ya Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini 

Meneja Mahusiano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Inocent Mungy akieleza jambo wakati wa Warsha hiyo.
                                   Mmoja wa Waanzilishi wa Mtandao wa Kijamii wa Jamii Forums,Mike Mushi akiwasilisha Mada juu ya namna ya Uendeshaji wa Mitandao ya Kijamii na namna Mtandao wao wa Jamii Forums unavyoendeshwa wakati wa Warsha  kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini
Mtobi akielezea baadhi ya sheria zinazotakiwa kuzifahamu waendesha mitandao
     Moja ya Mmiliki kwa Mtandao wa Kijamii wa Jamii Forums,Maxcence Mello akifafanua jambo juu ya namna ya Uendeshaji wa Mitandao ya Kijamii na namna Mtandao wao wa Jamii Forums unavyoendeshwa wakati wa Warsha kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers)

Mwandishi mkuu wa Mbeya Yetu, Joseph Mwaisango, akichangia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.
 Jestina george, akichangia mada

                                   Mhadhili wa Maswala ya Habari kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Ndg. Doto Kuhenga akiwasilisha Mada yake ya kuhusu Mwenendo na Utaalam unaopaswa kufuatwa na Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii 



Wakuu wakifuatilia mada kwa makini


           Mmiliki wa Mtandao wa Bongo Celebrity,Jeff Msangi  akiwashukuru TCRA  kwa niaba ya Waendezaji wa Mitandao ya Kijamii waliokuwepo kwenye Warsha
Shamim Mwasha akichangia mada
Henry Mdimu
Cintah akichangia mada
Dotto Kahindi  akichangia mada
Mroki  T Mroki akichangia mada


Joackim Mushi The habari
Rashidi mkwinda akichangia mada


Mtaalam wa Maswala ya mambo ya Mitandao kutoka Blogs za Mikoa Fredy Anthony akichangia jambo



 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,Mwandishi mkuu wa Mbeya yetu Blog Joseph Mwaisango baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano, yaliyoanza Septemba 17 na kumalizika Septemba 18  jijini Dar es Salaam, huku yakiwashirikisha mabloger mbalimbali kutoka mikoa tofauti ya nchini

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili, Fredy Anthony kutoka Tone multimedia group kupitia Blogs za Mikoa
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili, Dotto Kahindi mmiliki wa mtandao wa tabia nchi
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili, Jestina George mmiliki wa mtandao wa Jestina George.com
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa Lukaza blog , Joseph Lukaza
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili, Rashid Mkwinda 
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili, Shamim Mwasha mmiliki wa 8020 fashion Blog
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili, mmoja wa washiriki waliohudhuria mafunzo hayo
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili, Othman michuzi kutoka Michuzi Media Group
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili, Betha

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili  Mariam Ndaba mmiliki wa mtandao wa Missie popular 
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili Max kutoka Jamii Forums 
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili, Cathbert Kajuna kutoka Kajunason Blog
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili, Mroki T Mroki kutoka Father Kidevu Blog
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilinoo Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili, Sufian M , Mmiliki wa mtandao wa Sufiani Mafoto blog
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili, Everyn Shayo mmiliki wa Maasinda Blog

Baadhi ya Bloggers Baada ya kumaliza mafunzo

Hii ilikuwa ni Full kujiachia
Wakibadilishana mawazo
Picha ya Pamoja na wadau



Kila mtu happy People
picha ya pamoja baada ya mafunzo.







No comments: