MFUKO
WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA
(PSPF)
Mfuko
wa Pensheni wa (PSPF) unapenda kuwataarifu wanachama wake wa Mpango wa
Uchangiaji wa Hiari juu ya mabadiliko ya akaunti za malipo kama ifuatavyo:-
1. JINA
LA AKAUNTI: PSPF
SUPPLEMENTARY SCHEME
2. JINA
LA BENKI: CRDB
·
Akaunti
na. 0150237443000 kwa fedha za kitanzania
·
Akaunti
na. 0250237443000 kwa Fedha ya kigeni (Dola)
·
3. JINA
LA BENKI: NMB
·
Akaunti
na. 20110006364 kwa fedha za kitanzania
Pia unaweza kuwasilisha
michango yako kwa kutumia mitandao ya simu.
MUHIMU:
Kumbuka kutaja
namba yako ya uanachama kila unapolipa michango benki au kwa njia ya simu.
Kwa maelezo zaidi wasiliana
nasi kwa simu na. 0783 481 344 au 0758
500 701.
“KARIBUNI WOTE
MJIUNGE NA PSPF”
Mkurugenzi Mkuu
No comments:
Post a Comment