Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, September 28, 2013

PAMBANO KATI YA MBEYA CITY FC NA COASTAL UNION WATOKA SALE KWA GOLI MOJA KWA MOJA

Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa wanashangilia Timu yao wakiongozwa na Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Mbeya Dr. Mary Mwanjelwa 
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi, akiwa na mashabiki wenzake wa Mbeya City katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya wakati wa mechi kati ya timku hiyo na Coast Union.
(Picha na Kalulunga Blog)
Timu zote mbili zikijiandaa kukaguliwa 
Mgeni rasmi akikagua Timu zote Mbili

Ma Captain wa timu zote wakiwa wanaamua waanze kwenda goli lipi

Wachezaji wakiingia uwanjani
Wachezaji wakisalimiana 
Waamuzi
Mbeya City Fc
Coastal Union 
Mpira ni Mapumziko sasa 


Mashabiki wakiwa wanangoja Mpira kwa Hamu
Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa wanangoja Mpira kwa hamu
Mpira ndio unaanza sasa ...


Endelea kufuatilia....

Picha zote na Ripota wetu ni Peny Mwaisango na  Mc. Anthony Sanga.

No comments: