Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, September 28, 2013

Majembe ya Tone Multimedia kazini.

 Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni akina nani hasa wanaotuletea habari za mikoa yetu? jibu liko hapa, pamoja na kuwa na wawakilishi katika mikoa mbalimbali hapa nchini wanaofanyakazi ya kutafuta na kutuma habari kupitia blog za mikoa, ifahamu timu iliyo nyuma yao
Majembe ya Tone Multimedia yakiwa kazini kuchapa kazi kwenda mbele.. 

 Hapa kila mtu akiwa bize na lake, ni mpango mzima wa kuwaleteeni Habari kutoka mikoa mbalimbali na Dunia kwa ujumla

 Ni ndani ya Tone Radio-Tz ambapo majembe yanaonekana kuandaa baadhi ya mambo kabla matangazo hayajaruka hewani

KAMA ULIKUWA HAUJUI PRODUCT ZA TONE MULTIMEDIA GROUP BOFYA KILA LINK HAPA CHINI UJIONEE..

Tuma habari kutoka Mkoa uliopo sasa kupitia Barua pepe
blogzamikoa@live.com

1 comment:

Anonymous said...

STUDIO YA TONE RADIO TZ IPO MAHALI GANI NA MKOA GANI?