Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, August 7, 2013

TEMBELEA KATIKA BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE , VIWANJA VYA NANE NANE MBEYA UJIONEE MAMBO MBALIMBALI.

 Wakazi mbalimbali kutoka Mkoa wa Mbeya na Mikoa ya Jirani wakiwa katika Banda la Rungwe Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mbeya.
 Kutoka Kushoto ni Katibu Mwenezi CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu. Bashiru Madodi alipo tembelea Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mbeya akiwa pamoja na wahusika wa Banda hilo la Busokero . Kutoka kulia ni Judidh Mrema Afisa kilimo, Huseni Mwasipyelele Mkulima na Mfugaji,Ephraim Damian Mkulima pamoja na Sikujua Ndombo Mkulima 
 Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya akiongea na wajasiliamali katika Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe alipo watembelea.
 
 Mataifa Mbalimbali walikuwepo katika Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mbeya.
 Katibu Mwenezi wa Mkoa wa CCM Mkoa wa Mbeya Bashiru Madodi akiwa pamoja na wajasiliamali wanaotengeneza vitu mbalimbali kutoka kulia ni Atuganile,Betty na Nisile wote wajasilia mali.
 Kutoka Kushoto ni Bi. Jamilah (Mteja) , Bi. Mary Kalisinje Katibu wa CCM Wilaya ya Chunya, Ndugu Bashiru Madodi Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya  na Mary Nzowa.
 kutoka kulia ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi , Yusuph Godwin Mjasiliamali, Juma Mwamajuja Mkulima na Mjasiliamali pamoja na Mzee Robert Mbamba Msindikaji wa Bidhaa mbalimbali.  wakionesha mazao mbalimbali yanayo patikana katika Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mbeya.
 Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi akiwa katika sehemu inayo onesha zao aina ya Ndizi.
 Katibu Mwenezi wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi akimwangalia Ng'ombe wa Maziwa anayetoka katika  Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mbeya.
 Kutoka kushoto ni Japhet Njawala Afisa mifugo Wilaya ya Rungwe , Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya Bashiru Madodi na Dr. Lawrence kibona ambaye ni Mganga wa Mifugo Wilaya ya Rungwe
 Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya Bashiru Madodi akiwa katika bustani ya Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mbeya.


No comments: