Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, August 7, 2013

LIVE KUTOKA VIWANJA VYA NANE NANE MBEYA MUDA HUU: VIBAKA WAWILI WANAOSADIKIKA KUTOKA MJI MDOGO WA TUNDUMA WAPATA KICHAPO KIKALI , BAADA YA KUJARIBU KUIBA SIMU!

 Mgambo wa jiji akiwachukua vibaka hao kuwapeleka katika kituo kidogo cha Polisi Nane nane Vibaka hao wakipelekwa Kituo kidogo cha Polisi baada ya kushindwa zoezi lao la Kuiba Simu .... 

Picha zote na Mbeya yetu Blog

No comments: