Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, August 7, 2013

TEMBELEA BANDA LA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA NANE NANE MBEYA UJIONEE MAMBO MBALIMBALI

 BANDA LA BANDA LA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA ATAKA MBEYA
 KUTOKA KUSHOTO NI NEEMA MWANGWALA AFISA HUDUMA KWA WATEJA NA NEEMA STANTON AFISA MAHUSIANO NA ALIYE SIMAMA MBELE NI VENANCE HAWELA  MSIMAMIZI WA KITENGO CHA ANKARA NA KUMBUKUMBU  WAKITOA MAELEZO KWA WATEJA WAO
 EDWARD MWANJELA MTAALAM WA MAHABARA YA KUPIMA MAJI WA  MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA AKITOA MAELEZO JINSI MAJI YANAVYO TIBIWA NA KUWA SAFI NA SALAMA KWA MATUMIZI YA BINADAMU
 WATU MBALIMBALI KATIKA  BANDA LA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA TAKA MBEYA 
 AFISA WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA AKITOA ELIMU KWA WATU JUU YA VYANZO VYA MAJI IKIWA NI VYANZO VILIVYO SALAMA NA AMBAVYO VIMEHARIBIWA .. NA UTUNZAJI BORA WA MAZINGIRA
MTEJA AKIPATA MAELEKEZO KUHUSU MAJI TAKA.

No comments: