Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, August 6, 2013

KAMPUNI YA MASOKO AGENCIES (GSA PRECISION AIR) NYANDA ZA JUU KUSINI LIMEWAKUTANISHA WADAU WAKE NA KUWAFUTARISHA FUTARI JIJINI MBEYA

Meneja Precision Air nyanda za juu kusini akiwakaribisha wadau mbali mbali wa jiji la Mbeya katika futari waliyoiandaa kwa ajili ya wadau wao
 Meneja wakala masoko nyanda za juu kusini Yoweri Junior, alisema kuwa katika kuridisha fadhila kwa kile kidogo wanachokipata wameona ni jambo la kheri kuwakutanisha wadau wake na kupata chakula cha pamoja.
Wadau mbali mbali wa precision Air wakipata futari katika ukumbi wa mkapa jijini MBEYA


Shirika la ndege la Precision Air nyanda za Juu kusini limewakutanisha wadau wake na kuwafutarisha futari jijini Mbeya.
Akizungumza  mara baada ya kupata futari hiyo, Meneja wa shirika hilo nyanda za juu kusini Yoweri Junior, alisema kuwa katika kuridisha fadhila kwa kile kidogo wanachokipata wameona ni jambo la kheri kuwakutanisha wadau wake na kupata chakula cha pamoja.
Hafla hiyo ilifanyika juzi katika ukumbi wa Mkapa uliopo jijini Mbeya.
Alisema kuwa shirika hilo katika makuhakikisha linawapatia huduma iliyobora kwa wadau wake imeendelea kuboresha huduma zake.

na Mbeya yetu  

No comments: