Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, August 30, 2013

HEAD OF GROUP RESEARCH AND PRODUCT DEVELOPMENT WA TONE MULTIMEDIA GROUP , FREDY ANTHONY ALA NONDOZ!

 Head of Group Research and Product development wa Tone Multimedia Group ambao pia ndio wamiliki wa Mtandao huu wa Mbeya yetu, Fredy Anthony akiwa Nje Baada ya kumaliza mahafali na kutunukiwa Shahada yake ya pili  (MBA-Multimedia Marketing)
 Hapa ilikuwa muda mchache baada ya kumaliza Mahafali hayo 
 Hapa Ilikuwa Full happy People Baada ya Safari Ndefu kumalizika 
 Kama kawaida Tukio hili Hufanyika mara Baada ya kumaliza
Picha ya Pamoja na Baadhi ya Wadau wangu wa karibu waliokuja kunisindikiza wakati wa Mahafali.

*****
Head of Group Research and Product Development wa Tone Multimedia Company ambaye pia ndiye Mtaalam wa mambo ya mitandao na Mbunifu wa Product zote za Kampuni ya Tone Multimedia Group  , Ambao ni wamiliki wa Tone Radio-Tz , Blogs zamikoa , This Day Magazine , Matukio na wanavyuo , Watanzania waishio Nje ya Nchi , Tone Tube  ,  na Stay in Tanzania(Amazing Tanzania and Tours)  , Bwana Fredy Anthony , Hivi karibuni amepata Shahada yake ya pili ya (MBA- Multimedia Marketing ) katika Chuo Kikuu cha Multimedia kilichopo Malaysia. Uongozi mzima wa Tone Multimedia Group unaungana na wadau wote kumpongeza kwa hatua aliyo fikia na kumtaka aendelee kuchapa kazi kwa Bidii na Kuleta Maendeleo zaidi ikiwa ni pamoja na Mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia Nchini Tanzania.

Imetolewa na Utawala
Tone Multimedia Co. Limited

No comments: