|
Meneja wa Bia ya Safari (Brand Manager) kutoka Kampuni ya TBL Ndugu Oscar Sherukindo akizungumza na waandishi wa Habari juu ya Program ya Safari Lager Wezeshwa itakayo Fanyika Kesho katika viwanja vya Ruanda Nzovwe CCM jijini Mbeya kuanzia saa Nne Asubuhi Ambapo wajasiliamali Kumi Watapewa Vitendea kazi kwa ajili ya kukuza Biashara zao. |
|
Mratibu wa Safari Lager Wezeshwa Peter Zacharia |
|
Meneja Mauzo wa Kanda ya Mbeya Raymond Degera |
|
Mratibu wa Safari Lager Wezeshwa Peter Zacharia(Mwenye Kofia) akifafanua Jambo kwa waandishi wa Habari ambapo amesema Zaidi ya Milioni Mia Nne zimetumika kununulia vitendea kazi kwa wajasiliamali Kumi kwa misimu miwili, msimu huu zawadi kubwa kuliko zote ni Trekta dogo la Kulimia likiwa na vifaa vyake (Powertiller aina ya Kobota) |
|
Meneja wa Bia ya Safari (Brand Manager) kutoka Kampuni ya TBL Ndugu Oscar Sherukindo amesema Mradi huo umeanza mwaka 2011 kwa nia ya kuwawezesha wajasiliamali wadogo wadogo kwa kuwapatia mafunzo na vitendea kazi |
|
Wanamuziki wa Bendi ya AFrica Minofu inayo tarajia kutumbuiza katika viwanja vya Ruanda Nzovwe |
|
Meneja Mauzo wa Kanda ya Mbeya Raymond Degera (wa kwanza kulia ) akiwasihi wananchi kufika kwa wingi katika viwanja vya Ruanda Nzovwe kushuhudia shughuli mbalimbali zitakazo fanyika
|
Afisa Habari wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Machela akifafanua jambo
|
Kiongozi wa Bendi ya AFrica Minofu wa kwanza kutoka kushoto akihimiza juu ya burudani watakayo itoa kesho |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Baadhi ya waandishi wakifuatilia kwa makini kikao kifupi cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
Meneja wa Mikuyu Royal Hotel Juma Mikongo (wa kwanza kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TBL
Meneja Mauzo wa Kanda ya Mbeya Raymond Degera akiwa na waandishi wa Habari
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU
No comments:
Post a Comment