Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, April 28, 2013

MAHAFARI YA 36 YA STASHAHADA YA UALIMU CHUO CHA UALIMU TUKUYU YAFANA HUKU KATI WAHITIMU 491 MWANAFUNZI MMOJA TU NDIYE ALIYE SOMEA MASOMO YA SAYANSI YA KEMIA NA FIZIKIA HUKU WANNE WAKIOSOMEA HESABU NA FIZIKIA

WAHITIMU

ISHANTI SHAPWATWA AKISOMA RISALA KWA NIABA YA WAHITIMU KATI YA MAMBO ALIYASEMA NI KUWASHUKURU UONGOZI WA CHUO NA WANANJAMII KUWALEA VYEMA CHUONI HAPO TANGU WAANZE MASOMO AMBAYO MPAKA KUMALIZA HAKUNA MWANANCHUO ALIYE FUNKUZWA CHUO KWA UTOVU WA NIDHAMU JAPO MWANAFUNZI MMOJA GETRUDE KAYOMBO ALIYE FARIKI DUNIA
MWENYEKITI WA BODI YA USHAURI YA CHUO MR MOSES MWIDETE AKIONGEA MACHACHE KWA WAHITIMU, AMEWATAKA WAHITIMU SASA WANANZA KUJITEGEMEA CHAMSINGI WAJUE KUJIHESHIMU NA WAEPUKANE NA NGONO ZEMBE AMBAZO ZINAPELEKEA KUPATA UGONJWA WA UKIMWI AMBAO HAUNA TIBA WALA KINGA HADI SASA

MKUU WA CHUO CHA UALIMU TUKUYU MATHIAS MVULA AKISOMA TAARIFA FUPI YA CHUO HUKU AKIWATAKA WANANCHUO KUWA MABAROZI WAZURI KATIKA JAMII ILI JAMII ITAMBUE CHUO CHA MSASANI KINA ZALISHA WAHITIMU WALIO WAADIRIFU NA WAPENDA AMANI KATIKA JAMII

MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIONGEA NA WAHITIMU NA JUMUIA YA CHUO PAMOJA NA WAZAZI WALIOHUDHURIA. MKUU WA WILAYA AMESEMA KUWA MWALIMU NI KIUNGO MUHIMU KATIKA JAMII KWAKUWA MWALIMU ANATEGEMEWA KWA KUWA NA MAWAZO MAZURI NA YENYE SURUHISHO YA MIJADARA YA KIJAMII, HIVYO 

Picha kwa hisani ya Kingo Tanzania

No comments: