Mtendaji Mkuu wa Elimisha, Festo Sikagonamo akimkabidhi zawadi moja ya watoto wa kituo cha Chird support Tanzania
|
Festo Sikagonamo akiwakabidhi zawadi za watoto kwa viongozi wa chird support |
Baadhi ya waandishi wa habari walioandamana na asasi hiyo ya Elimisha wakigawa zawadi kwa watoto hao |
Danny Tweve moja ya viongozi wa asasi hiyo ya Elimisha akimpatia moja ya watoto zawadi kituoni hapo |
Hakika watoto wamefurahi kupata zawadi |
Mtoto mlemavu wa miguu na mikono akionyesha jinsi zawadi yake ya kalamu aliopewa atakavyo andikia |
Watoto wakiimba kwa furaha kuwakaribisha wageni wao |
Baadhi ya waandishi wa habari walioandamana na asasi ya Elimisha wakiwa makini kuwasikiliza watoto walipokuwa wakiimba |
Baadhi ya walimu wa kituo hicho wakiimba pamoja na watoto wao |
Mtendaji Mkuu wa Elimisha, Festo Sikagonamo amesema zawadi hizo walizotoa kwa watoto hao wamepata toka kwa wafadhiri mbali mbali
|
Mkurugenzi wa kituo cha chird support Noera akiwashukuru asasi ya Elimisha pamoja na waandishi wa habari kuguswa juu ya watoto anaowalea hapo kituoni kwa kuwapatia zawadi mbalimbali |
No comments:
Post a Comment