“Mafunzo kwa maisha Bora”
KURUGENZI YA ELIMU ANUAI
TANGAZO KWA WAOMBAJI WAPYA NGAZI YA STASHAHADA
(ORDINARY DIPLOMA) MWAKA WA MASOMO 2013/2014.
MAOMBI
YANAKARIBISHWA KATIKA FANI ZIFUATAZO:
Stashahada
katika mafunzo ya Ualimu yaani (Ordinary Diploma
Certificate in Education)
Stashahada
katika mafunzo ya Fedha na Uhasibu yaani (Ordinary Diploma in Accounting and Finance)
Stashahada
katika mafunzo ya Kazi na Maendeleo ya Jamii yaani (Ordinary Diploma in
Social work and Community
Development)
Stashahada
katika mafunzo ya TEKNOHAMA yaani (Ordinary Diploma in Information Technology)
Stashahada
katika Mafunzo ya Sheria yaani (Ordinary Diploma in Law)
Stashahada
katika Mafunzo ya Utawala na Biashara (Ordinary Diploma in Business Administration)
Stashahada
katika mafunzo Manaejimenti ya Rasilimali Watu (Ordinary Diploma in Hunan Resources Management)
Stashahada
katika mafunzo ya Menejimenti ya Utalii
na Huduma za Hotel (Ordinary Diploma in
Hospitality and Tourism)
Stashahada
katika mafunzo ya Utawala wa Biashara (Communication)
in
Business Administration )
Stashahada
katika mafunzo ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (Ordinary Diploma in Journalism and
Mass Communication)
Stashahada
katika Mafunzo ya Menejimenti ya Ununuzi na Takwimu (Ordinary Diploma in Procurement Logistic and
Management)
Stashahada
katika Mafunzo ya Ukutubi na Sayansi ya Habari ( Ordinary Diploma in Library and
Information Science)
Stashahada
katika Mafunzo ya Theolojia ( Ordinary Diploma in Theology)
SIFA
KWA WAOMBAJI
1. Mwombaji awe amehitimu kidato cha sita na awe na ufaulu usiopungua principal pass moja na
subsidiary moja, au
2. Mwombaji awe na cheti katika fani
anayoomba
Mafunzo yote yataendeshwa kwa muda wa miaka miwili isipokua
mafunzo ya Theolojia ambayo yateendeshwa kwa miaka mitatu
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/6/2013, saa kumi
jioni.
Fomu zinapatikana Chuoni, eneo la Kitalu T, Soweto, Mbeya
mjini. Vilevile mwombaji anaweza
kuzipata kutoka katika
tovuti ya chuo, Tovuti: www.teku.ac.tz
Anuani: Chuo Kikuu Teofilo
Kisanji
S.L.P 1104
Mbeya – TANZANIA
“KARIBU CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI KWA MAFUNZO YENYE UBORA”
CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI
“Mafunzo kwa maisha Bora”
KURUGENZI YA ELIMU ANUAI
TANGAZO KWA WAOMBAJI WAPYA NGAZI YA CHETI
(BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE) MWAKA WA MASOMO 2013/2014.
MAOMBI
YANAKARIBISHWA KATIKA FANI ZIFUATAZO:
Cheti katika mafunzo ya Ualimu yaani (Basic Technician Certificate
in Education)
Cheti
katika mafunzo ya Fedha na Uhasibu yaani (Basic Technician Certificate in Accounting and
Finance)
Cheti
katika amafunzo ya Kazi na Maendeleo ya Jamii yaani (Basic Technician Certificate in Social work and Community Development)
Cheti katika mafunzo ya Tekinologia TEKNOHAMA (Basic Technician Certificate in
Information Technology)
Cheti katika Mafunzo ya Sheria yaani (Basic Technician Certificate
in Law)
Cheti katika mafunzo Manaejimenti ya
rasilimali Watu (Basic
Technician Certificate in Hunan Resources Management)
Cheti katika mafunzo ya Menejimenti ya
Utalii na Huduma za Hotel (Basic Technician Certificate in
Hospitality and Tourism)
Cheti katika mafunzo ya Utawala wa Biashara (Basic Technician Certificate in
Business Administration)
Cheti
katika mafunzo ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (Basic Technician Certificate in
Journalism and
Mass Communication)
Cheti katika Mafunzo ya Menejimenti ya
Ununuzi na Takwimu (Basic
Technician Certificate in Procurement Logistic
and Management)
Stashahada
katika Mafunzo ya Ukutubi na Sayansi ya Habari ( Basic Technician Certificate in
Library and Information Science)
Cheti katika Mafunzo ya Theolojia ( Basic Technician Certificate in
Theology)
SIFA
KWA WAOMBAJI WA NGAZI YA CHETI
Mwombaji awe amehitimu
kidato cha nne na awe na ufaulu wa daraja la nne lenye alama D (NNE) katika
fani zote isipokuwa fani ya
Ualimu ambayo mwombaji awe na daraja la nne lenye Alana 27 katika mtihani wa
kidato cha nne.
Mafunzo yote
yataendeshwa kwa muda wa mwaka mmoja isipokuwa mafunzo ya Ualimu
yatakayoendeshwa kwa muda wa miaka miwili (2)
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/6/2013, saa kumi
jioni.
Fomu zinapatikana Chuoni, eneo la Kitalu T, Soweto, Mbeya
mjini. Vilevile mwombaji anaweza
kuzipata kutoka katika
tovuti ya chuo, Tovuti: www.teku.ac.tz
Anuani: Chuo Kikuu Teofilo
Kisanji
S.L.P 1104
Mbeya – TANZANIA
“KARIBU CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI KWA MAFUNZO YENYE UBORA”
1 comment:
ada mbona hamjatuambia?
Post a Comment