| MWIZI WA BETRI YA GARI ANAEJULIKANA KWA JINA MOJA TU SEFA AKISURUBIWA KWA STAILI YA AINA YAKE KWA KUFUNGWA KWENYE NGAZI PAMOJA NA BETRI ALIYOIBA |
| MWIZI HUYO AKIENDELEA KUTESEKA KATIKA NGAZI HIYO |
| POLISI WAMEFIKA KUMWOKOA MWIZI HUYO KATIKA MATESO HAYO |
| BADO WANANCHI WANAHASIRA NA MWIZI WAO WAKIDAI WAACHIWE WAMFUNZE ADABU MAANA AMEWASUMBUA SANA ENEO HILO LA UYOLE |
| POLISI WAMEZIDIWA WAMEPOKONYWA MTUHUMIWA WAO KIPIGO KINAENDELEA |
| HII NDIYO NGAZI ILIYOTUMIKA KUMWADHIBU MWIZI HUYO picha na Kamanga Mbeya |
1 comment:
NA MAFISADI WANGESHUGHULIKIWA HIVYO TUNGEKUWA MBALI MNO...!
Post a Comment