Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, March 2, 2013

KUMEKUCHA NA AJALI MBEYA MJINI

AJALI HII IMETOKEA USIKU WA KUAMKA LEO MAENEO YA NJIA PANDA KWENDA ISANGA KARIBU NA HOTEL YA LIFT VALEY

CHANZO CHA AJALI MPAKA SASA HAKIJAJULIKANA 

HAKUNA MTU ALIYEPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI HIYO 






PICHA NA MBEYA YETU

1 comment:

Anonymous said...

Mbona kuna jirani yangu amefariki katika ajali hiyo na hapo maelezo ni kwamba hakuna aliepoteza maisha?sijaelewa