| MOJA YA MAJERUHI BENO GILBET MKAZI WA ZANZIBAR ALIKUWA ANATOKEA SUMBAWAGA KWENDA ZANZIBAR SASA AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA TEULE YA IFISI |
| MAJERUHI MUSA KAPINUKE |
| MAJERUHI CHALES KAUZENI 15 |
| MUUGUZI ELMAT KAKAKU AMESEMA WAMEPOKEA MAJERUHI 47 KATI YA HAO WAWILI WAMEPELEWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA BAADA YA HALI ZAO KUWA MBAYA ZAIDI |
HABARI KAMILI YA AJALI HII TUTAWAFAHAMISHA BADO TUNAFUATILIA PICHA NA MBEYA YETU |
No comments:
Post a Comment