HABARI TULIZOPATA SASA SI BASI LA TAQWA BALI NI BASI LA ESIE TOKA LILONGWE KWENDA DSM WATU SABA WAHOFIWA KUFA KATIKA AJALI HIYO HABARI KAMILI TUTAWALETEA KESHO BAADA YAKUPATA TAARIFA TOKA POLISI
TUNAWAOMBA RADHI KWA KUTAJA BASI LA TAQWA HIYO NIKUTOKANA NA MDAU WETU TOKA IGAWA KUTO ONA JINA VIZURI LA BASI HILO
No comments:
Post a Comment