Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, February 12, 2013

WANANCHI wanaoishi karibu na maeneo ya viwandani jijini Mbeya wamelalamikia ubovu wa miundo mbinu ya barabara zinazo toka viwandani humo .

HII NDIYO ADHA WANAO PATA MADEREVA WANAPOPITA KATIKA BARABARA HII YA VIWANDANI IYUNGA MBEYA
KWA UJUMLA BARABARA HII HAIFAI KABISA KUPITISAHA GARI DOGO 
HAYA NI MAENEO YA KIWANDA CHA TBL  IYUNGA MBEYA
MWANDISHI WA MBEYA YETU AKIJARIBU KUKAGUWA BARABARA WAPI ATAPITISHA GARI YAKE AFIKE KATIKA KATIKA KIWANDA CHA COCACOLA IYUNGA MBEYA  KWA UJUMLA ALISHINDWA KUPITA KUTOKANA NA UBOVU WA BARABARA HIYO
BAADHI YA MAROLI YANAYOPITA BARABARA HIYO KUTOKA KATIKA VIWANDA HIVYO VILIVYOPO IYUNGA MBEYA

WANANCHI  wanaoishi karibu na maeneo ya viwandani jijini Mbeya wamelalamikia ubovu  wa miundo mbinu ya barabara zinazo toka viwandani humo .
Baadhi ya barabara zinazo lalamikiwa na wananchi hao ni ile inayo toka eneo la Ituta Iyunga ambayo inaelekea katika kiwanda cha  Kampuni ya Coca cola ,Pepsi,Tbl , pamoja na kiwanda cha utengeezaji malumalu,(Marmo granite limited)

Wakizungmza kwa sharti la kutotaja majina yao wamesema kuwa  barabara zinazo elekea viwandani humo ni mbovu na hazina hadhi  ya kutumiwa na makampuni hayo.

Wamesema hali hiyo pia imechngaia kwa asalimia kubwa haa wao kupota shida pindi wanapo tumia  barabara hizo kwa shughuli zao binafsi kutokana na  ubovu huo.

Aidha wameziomba mamlaka husika jijini humo kuhakikisha wanayafanyia kazi malalamiko hao kwani ni kero kubwa hasa katika kipindi hiki cha msimu wa mvua

Hata hivyo kwa upande wa madereva wa makampuni hayo  ambao hawautaka kutaja majina yao wamelalamikia mamlaka husika kwa kushindwa kuzifanyia ukarabati barabara hizo.

No comments: