Baadhi ya mashabiki wa timu yaMbeya City wakicheza na kusubiri timi iingie toka songea |
Ni vituko mtindo mmoja jamaa kwa furaha ya timu ya Mbeya City kupanda daraja kushiriki ligi kuu anataka kuvua suruali |
Chales Mwakipesile Dr Samwel Lazaro na mhandisi wa barabara wakipanga ratiba ya mapokezi |
Hivi ndiyo timu ilivyopokelea maeneo ya uyole jijini Mbeya hapa timu ya Mbeya City inapokelewa na mashabiki wake |
Watumishi wa jiji la Mbeya wakionyesha furaha yako kwa kucheza kiduku |
Baadhi ya waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya wakiwa makini kufuatilia matukio ya kuipokea Mbeya City |
Mstahiki Meya wa jiji la Mbeya Athanas Kapunga mara baada ya kushuka toka wenye gari yake na ndiye aliyeongozana na timu hiyo toka songea akishangilia kwa furaha ya timu ya Mbeya City kupanda daraja |
Nae pia mkurugenzi wa jiji la Mbeya JumaIdi hakuwa nyuma kuonyesha furaha yake kwa timu yake ya Mbeya City |
Ni fuaraha na shangwe tu |
Bibi huyu akicheza na kusema sasa tumepata timu yetu hii ndiyo timu ya Mbeya sasa du kumbe wabibi wamo nao kwenye michezo |
Mashabiki wa Mbeya City |
Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Juma Idi na mkuu wa wilaya Mbeya Norman Sigalla wakikumbatiana kwa furaha wakati wa kuipokea timu hiyo katika ukumbi wa mkapa jijini Mbeya |
Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Juma Idi akiwashukuru wakazi wa jiji la mbeya kujitokeza kwa wingi kuipokea timu yao ya Mbeya City |
Mstahiki Meya wa jiji la Mbeya Athanas Kapunga akiongea na wapenzi wa timu ya Mbeya City mara baada ya timu hiyo kuwasili katika viwanja vya ukumbi wa mkapa jijini Mbeya |
Wakuu wa idara mbalimbali za jiji la Mbeya wakimsikiliza meya wa jiji |
Moja wa viongozi wa timu ya Mbeya City Emmanuel Kimbe akiwashukuru mashabiki na wakazi wa mbeya |
Kocha wa timu ya Mbeya City Juma mwambusi akiongea na wapenzi wa Mbeya City |
Mkuu wa wilaya Mbeya Norman Sigalla akiwaasa wachezaji wa timu ya Mbeya City kuwa sasa ni wakati wa timu hii kuleta kombe la ligi kuu hapa mkoani Mbeya maana hi ndiyo timu yetu wakazi wa mkoa huu |
Picha ya pamoja picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment