RPC MBEYA DIWANI ATHUMAN
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI
DIWANI ATHUMANI ANAWATAHADHARISHA WANANCHI WOTE WA MKOA WA MBEYA KUWA MAKINI NA MIENENDO YA WATOTO WAO
WAENDAPO NA WARUDIPO SHULENI NA WAWAPO MICHEZONI. HAKIKISHENI WANARUDI NYUMBANI
MAPEMA, WAFUNDISHENI KUTOPOKEA ZAWADI AU LIFTI KUTOKA KWA WATU WASIOWAFAHAMU, KWA
KUFANYA HIVYO ITASAIDIA KUWAEPUSHA WATOTO WETU NA VITENDO VYA WIZI WA WATOTO UNAOWEZA KUJITOKEZA . TAHADHARI
HII INATOKANA NA KUIBUKA KWA WIMBI LA MATUKIO YA WIZI WA WATOTO WADOGO.
|
No comments:
Post a Comment