Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, February 6, 2013

SIKU YA SHERIA NCHINI YAFANA MBEYA

JAJI MFAWIDHI NOEL PETER CHOCHA AKIJIANDAA KUKAGUWA GWARIDE LILILOANDALIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI
JAJI MFAWIDHI NOEL CHOCHA AKIKAGUA GWARIDE LA KIKOSI CHA FFU MBEYA
KAIMU KAMANDA WA POLISI NA MKUU WA MKOA MBEYA PAMOJA NA WATUMISHI WA MAHAKAMA KUU WAKIWA WANAANGALIA GWALIDE LA KIKOSI CHA FFU MBEYA
KWAYA YA MAHAKAMA IKIWATUMBUIZA WAGENI WAALIKWA KATIKA SHEREHE YA SIKU YA SHERIA NCHINI


PICHA NA MBEYA YETU

No comments: