| Mkuu wa shule ya Mbeya sekondari Mwamwitu Msigwa akimshukuru Josephine Kulwa kwa msaada waliopata toka NMB |
| Baadhi ya wanafunzi kwa niaba ya wenzao wakifurahia kupata kompyuta hizo |
| Walimu nao wa Mbeya sekondari hawakuwa nyuma kuja kupokea msaada huo hapa wakiangalia kompyuta hizo |
| Baadhi ya watumishi wa NMB wakiwa makini kusikiliza shukrani zinazotolewa shuleni hapo |
| Meneja mawasiliano wa NMB Josephine Kulwa amewataka waalimu na wanafunzi hao kutumia vifaa hivyo kwa malengo yaliokusudiwa na kuvitunza ili na wengine wapate kuvitumia |
| Mkuu wa shule ya Mbeya sekondari Mwamwitu Msigwa pia nae amewashukuru sana NMB kwa msaada waliotoa kwa shule yake |
| Huu ndiyo msaada wa kompyuta na printer toka NMB Picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment