Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, February 8, 2013

JUST IN: BASI LA TWIGA LILILOKUWA LINATOKA MBEYA KUELEKEA DAR LANUSURIKA KUWAKA MOTO ASUBUHI HII MAENEO YA CHIMALA, SHUHUDIA

 Basi la Twiga Likiwa Limeanza Kuwaka Moto muda mchache uliopita
Basi la Twiga Likiwa Limesimama na Moto kuwahi kuzimwa Muda Mchache baada ya kutaka kuungua
*********************************
Katika hali ambayo haikudhaniwa asubuhi hii Basi la Twiga International Coach ambalo Lilikuwa linatoka Mbeya kuelekea Dar es salaam, Limetaka kuungua moto maeneo Chimala , hata hivyo juhudi la kuzima moto huo ambao ulianza kuwaka kwa kasi zimefanikiwa.

Abiria wote wametoka salama hakuna ambaye amepatwa na tatizo lolote lile, Abiria wote wamehamishiwa katika basi Jengine ambalo ni Sky Line na wanaendelea na safari yao salama.

PICHA NA MBEYA YETU BLOG

No comments: