Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, January 29, 2013

SIKU YA MAHUSIANO YA VIJANA WA MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR YAFANA.


VIJANA WAKIPEANA ZAWADI KATIKA SIKU YA MAHUSIANO SHEREHE HIZO ZIMEFANYIKA KATIKA KANISA LA MORAVIAN MBEYA MJINI
HAKIKA INAMPENDEZA MUNGU 
SAFI SANA ZAWADI NI ZAWADI

Mchungaji Dk.Mwanisongole ambaye ni Mkuu wa Kitivo cha Theolojia katika Chuo Kikuu cha TEKU ndio aliyehubiri na kutulisha Neno la Mungu katika Ibada hiyo

Vijana wa Paradise Choir toka Ruanda Moravian wakimtukuza Mungu katika Ibada!

Angaza Choir wakimtukuza Mungu huku wakiongozwa na Kijana Danken!

1 comment:

Anonymous said...

Hizo zawadi zote walimpa mchungaji?