Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, January 30, 2013

MUONEKANO WA ASUBUHI HII JIJINI MBEYA

HALI YA HEWA NI NZURI ASUBUHI HII JIJINI MBEYA BARIDI KIASI JUA HAKUNA

2 comments:

Unknown said...

Nionavyo hivi natamani sana kuwepo maeneo ya Mbeya... umenigusa sana kwani ninavyokuwepo ughaibuni huku najikuta fursa nyingi za kimaisha zilizo naafuu na kujisikia nikiwa maeneo ya kujidai kama mbeya huku nayakosa... Mbeya kuna neema nyingi ambapo popote tanzania huhitaji kutumia nguvu nyingi kujieleza ndipo ueleweke... napenda mazingira, shughuli za kijamii, kiuchumi na hasa ukarimu wa watu wake ambao huing'arisha nyota ya Mbeya licha ya changamoto za kimaisha Mbeya inamudu maisha ya watu wengi sana, kila mtanzania atkwambia napenda kuishi Mbeya.. NAWAPENDENI SANA WANAMBEYA
Mbeya is my favourite choice place I prefer to live Here is my site dear blogger you are welcome href="http://www.aloyson.com"

Anonymous said...

Saafi sana, wakati nikiishi Mbeya, kama miaka mitatu iliyopita, hakuna kipindi nilichokuwa nakipenda kama kuanzia November hadi March, hali ya hewa nzuri sana, hakuna baridi hakuna joto wala hakuna vumbi, mnvua kwa wingi, kinywaji kinateremka vizuri saaana!! Hongereni wakazi wa Mbeya kwa kuwa na hali nzuri ya hewa kama hii.