Mkuu wa mkoa Mbeya Abas Kandoro amesema nawaomba wakazi wenzangu wa Mbeya tunahitaji kubadilika ili
mitizamo yetu isilenge zaidi katika uchangiaji wa harusi, zinazogharimu mamilioni ya pesa kwa muda mfupi tunahitaji kuchangia
zaidi katika elimu kwani kuna vijana wetu hawana hata madawati ya kukalia, yatima,
wajane na wengine wengi wenye mahitaji badala ya kuchangia harusi.
|
2 comments:
Ni kwanini uchangie sherehe? Mwenyenayo akishindwa kuifanikisha maana yake hayuko tayari, msubirini siku nyingine.
Nakubalian sana na mheshimiwa,labda tu kuongezea, kinachohitajika sana si kwa wana Mbeya tu, bali kwa Watanzania ni Uboresho wa Fikra zetu,maana ndio kikwazo mama cha maendeleo yetu
Post a Comment