Bibi huyu akiwa anasikitika huku kashika kuni zake mkononi akisema ajali hizi zinazidi kuwamaliza vijana hakuwa na maneno mengi zaidi ya kusema eee mungu tuondolee balaa hili la ajali |
Hii ndi hiace ya pili inayofanya safari zake katika sokomatola na iyunga |
Umalti wa wananchi wakiwa hawaamini kilichotokea hapo |
Hili ndilo Roli lililogonga Hiace zote mbili dereva wa roli hilo kakimbia |
Baadhi ya majeruhi wakipata matibabu katika hospitali ya rufaa mbeya |
Baadhi ya wananchi wakimiminika kwenda waona ndugu zao waliopata ajali |
Moja wa mashuuda wa ajali hiyo akiwasimulia waandishi wa habari jinsi ajali ilivyotokea Habari kamili na majina ya majeruhi tutawaletea baadae picha na mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment