HIVI NDIVYO BARABARA ILIVYO ANZA KUFUNGWA MAENEO YA MAMA JOHN ASUBUHI YA LEO
GARI LA SERIKALI LIKIWA LIMEPAKI HAPA LIKISHINDWA JINSI YA KUTOKA
HAPA NI BALAA TUPU VIJANA WANAENDELEA KUZIBA NJIA
KAZI YAO YA KUZIBA NJIA INAENDELEA HAPA
HAWA VIJANA WANAKOMAA NA HILI JIWE KUBWA KUELEKEA KUZIBA BARABARA
HAPA GARI HILI LIKIWA LINAPITA PEMBENI BAADA YA NJIA KUZIBA
MAMA NA MTOTO WAKIWA WANAKIMBIA KUKWEPA MAGARI
HAWA VIJANA HAWASIKILIZI MTU WANAENDELEZA KUPANGA MAWE
HALI ILIKUWA TETE HAPA AMBAPO VIJANA HAWA WALIAMUA KUENDELEA KUZIBA NJIA MPAKA NA MITI
FOLENI KUBWA ILIYO SABABISHWA NA VIJANA KUZIBA NJIA
USALAMA WAKIWA WAMEFIKA ENEO HILO BAADA YA LISAA LIMOJA KUPITA
HAPA USALAMA ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI WAKIWA WANAJITAHIDI KUWEKA MAMBO SAWA
HAPA WAMEONGEZEKA HUKU WAKITAFUTA NJIA YA KUTOA MAWE
ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI WAKIENDELEA KUWEKA MAMBO SAWA
MAGARI MAKUBWA NAYO YAMEKWAMA
HAPA NI KITUO CHA MAFUTA MAMA JOHN HALI ETE PIA YA MAFUTA
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG
No comments:
Post a Comment