Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, November 29, 2012

HIVI NI KWELI HUDUMA ZOTE KWA WAJAWAZITO HUTOLEWA BURE? MAANA KUNA BAADHI YA HOSPITALI KUBWA HAPA JIJINI MBEYA MPAKA SASA WAJAWAZITO WANAKUJA NA VIFAA VYAO

HII NDIYO HALI HALISI MBEYA YETU IMEIKUTA KATIKA HOSPITALI KUBWA SANA HAPA MKOANI MBEYA KWENYE WODI YA WAMAMA WAJAWAZITO WALIOFANYIWA UPASUAJI HUAMBIWA WAKANUNUE DAWA NA VIFAA VINGINE VYA MATIBABU

HUKU UKUTANI KUMEBADIKWA TANGAZO LA KUWA HUDUMA KWA WAJAWAZITO NI BURE PICHA HIYO INAJIELEZA JAMAA KATOKA KUNUNUA DAWA ZA KUMUHUDUMIA MKE WAKE ALIYEFANYIWA UPASUAJI HOSPITALINI HAPO MBEYA YETU INAENDELEA KUFUATILIA MATUKIO HAYO TUTAZIDI KUWAJULISHA

1 comment:

Anonymous said...

Serikali ipo kweli,sasa kama huna hela inakuaje!