HII KALI SIJUI ASKARI HUYU ALIKUWA ANACHORA NINI HAPO CHINI HII NI BARABARA YA MBEYA PEAK KWENDA UWANJA WA SOKOINE MBEYA |
KWAKWELI IMECHUKUA MUDA KAMA DAKIKA TANO AKIENDELEA KUCHORA HAPO CHINI TUMESHINDWA KUPATA NAMBA ZAKE AU JINA LAKE LAKINI TUNAHISI HUWENDA MAHESABU YA KIFEDHA YANAMSUMBUA |
SASA KAINUKA NA KUANZA KUFUTA KWA BUTI LAKE MAANDISHI ALIOANDIKA HAPO CHINI Picha kwa hisani ya Joachim nyambo |
2 comments:
Mshahara 120,0000
Matumizi:
Pango 40,000
Chakula/mwezi 50,000
Bili ya maji 5,000
Bili ya umeme 5,000
Nauli ya mtoto shule 26,000
Mama watoto saluni 10,000
Dawa ya meno,sabuni,mafuta 10,000
Vodacom/Tigo/Airtel/Zantel 20,000
Michango Harusi/S.off/kadi 2 60,000
NK........Jumla 226,000/= Inabidi afute tu na kiatu na akikukamata na kosa dogo kabisa lazime akuminye utoe chochote!!!!!
Mwakalebela.
Ha ha ha. Hiyo budget balaa. Huyo anaweza akakubambikia bangi mfukoni ili akumalize.
Post a Comment